Ufafanuzi wa kitambaza katika Kiswahili

kitambaza

nominoPlural vitambaza

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    konsonanti inayotamkwa kwa kuutandaza ulimi na kuruhusu hewa ipitie pembeni mwa ulimi.

Matamshi

kitambaza

/kitambaza/