Ufafanuzi msingi wa kitambi katika Kiswahili

: kitambi1kitambi2

kitambi1

nominoPlural vitambi

 • 1

  nguo kama kikoi inayotumiwa kwa kuvaa, kujiambika au kupigia kilemba, agh. hufumwa kwa mkono na yenye nyuzi nzito.

  bura

Ufafanuzi msingi wa kitambi katika Kiswahili

: kitambi1kitambi2

kitambi2

nominoPlural vitambi

 • 1

  tumbo lililotanuka kutokana na unene.

  ‘Ota kitambi’
  ‘Fanya kitambi’
  ‘Kuwa na kitambi’
  futa

Matamshi

kitambi

/kitambi/