Ufafanuzi wa kitano katika Kiswahili

kitano

nomino

kizamani
  • 1

    kizamani sarafu au kipande chenye thamani ya senti tano.

Matamshi

kitano

/kitanÉ”/