Ufafanuzi wa kitapa katika Kiswahili

kitapa

nominoPlural vitapa

  • 1

    kiriba cha ngozi kilicho kama bakuli ambacho hutumiwa kuwekea vitu vidogovidogo mezani.

Matamshi

kitapa

/kitapa/