Ufafanuzi wa kitapitapi katika Kiswahili

kitapitapi

nominoPlural vitapitapi

  • 1

    samaki mwenye macho makubwa, rangi mchanganyiko na hupendelea kukaa mahali vyombo vinapoegeshwa.

Matamshi

kitapitapi

/kitapitapi/