Ufafanuzi wa kitatange katika Kiswahili

kitatange

nominoPlural vitatange

  • 1

    samaki mdogo wa umbo la duara, mwenye rangi ya manjano iliyochanganyika na nyeupe na pezi lililotanda mgongo mzima, mwenye tabia ya kuwasakiza wenziwe kwenye mtego k.v. dema, kisha yeye akatoka.

Matamshi

kitatange

/kitatangɛ/