Ufafanuzi wa kitete katika Kiswahili

kitete

nominoPlural vitete

  • 1

    hali ya kushikwa na hofu.

    woga

Matamshi

kitete

/kitɛtɛ/