Ufafanuzi wa kithembe katika Kiswahili

kithembe

nominoPlural vithembe

  • 1

    kasoro aliyonayo mtu katika utamkaji wa maneno ambayo hujitokeza wakati wa kusema k.v. neno ‘simba’ hulitamka ‘thimba’.

Matamshi

kithembe

/kiθɛmbɛ/