Ufafanuzi wa kitimbakwiri katika Kiswahili

kitimbakwiri

nominoPlural vitimbakwiri

  • 1

    mtu ambaye hutumia cheo chake au ujuzi wake kujipatia faida fulani binafsi bila ya kufuata kanuni za umma wa nchi yake.

Matamshi

kitimbakwiri

/kitimbakwiri/