Ufafanuzi wa kitindio katika Kiswahili

kitindio

nominoPlural vitindio

  • 1

    kifaa kidogo kama koleo cha kunyofolea ndevu au nyusi.

Matamshi

kitindio

/kitindijɔ/