Ufafanuzi wa kitini katika Kiswahili

kitini

nominoPlural vitini

  • 1

    muhtasari wa somo au mhadhara uliochapwa kwenye karatasi na kutolewa kwa wanafunzi.

Matamshi

kitini

/kitini/