Ufafanuzi wa kitobonya katika Kiswahili

kitobonya, kitobosha

nominoPlural vitobonya

  • 1

    andazi, agh. la duara, linalotengenezwa kwa unga wa ngano na kukaangwa na kuchovywa katika shira.

Matamshi

kitobonya

/kitObO3a/