Ufafanuzi msingi wa kitu katika Kiswahili

: kitu1kitu2

kitu1

nominoPlural vitu

  • 1

    chochote kinachoweza kushikika, kuonekana, kuhisika, kusikika na kuonjeka.

    dutu

Matamshi

kitu

/kitu/

Ufafanuzi msingi wa kitu katika Kiswahili

: kitu1kitu2

kitu2

nominoPlural vitu

  • 1

    neno linalotumika kwa maana ya mali au fedha.

Matamshi

kitu

/kitu/