Ufafanuzi wa kitua katika Kiswahili

kitua

nominoPlural vitua

  • 1

    muhogo ambao majani yake ni membamba na rangi ya mche wake ni ya kijivu.

Matamshi

kitua

/kituwa/