Ufafanuzi wa kitunguumaji katika Kiswahili

kitunguumaji, kitunguumajani

nominoPlural vitunguumaji

  • 1

    kitunguu chenye majani mengi na shina lenye matabaka ambayo hutumiwa kama kiungo au mboga.

Matamshi

kitunguumaji

/kitungu:maʄi/