Ufafanuzi wa kitwea katika Kiswahili

kitwea

nominoPlural kitwea

  • 1

    hali ya kukaa mahali pa pekee.

    ‘Amekaa kitwea’
    upweke

Matamshi

kitwea

/kiwɛja/