Ufafanuzi wa kitwitwi katika Kiswahili

kitwitwi

nominoPlural vitwitwi

  • 1

    ndege mwenye rangi nyeusi na nyeupe kichwani na kifuani, nyeupe tumboni, kijivu na kahawia mgongoni, ana miguu mirefu na huchezesha mkia wake na hupenda kukaa kando ya maji.

    kiulimazi

Matamshi

kitwitwi

/kitwitwi/