Ufafanuzi wa kiu katika Kiswahili

kiu

nomino

  • 1

    tendo la kupungukiwa na maji mwilini.

    nyota

  • 2

    hali ya kutaka kupata kitu au jambo.

    uchu

Matamshi

kiu

/kiwu/