Ufafanuzi wa kiuadudu katika Kiswahili

kiuadudu

nominoPlural viuadudu

  • 1

    aina ya dawa inayotumika kuua wadudu kama dumuzi wanaoharibu mazao au vitu.

Matamshi

kiuadudu

/kiuwadudu/