Ufafanuzi wa kiuagugu katika Kiswahili

kiuagugu

nominoPlural viuagugu

  • 1

    aina ya dawa inayotiwa shambani ili kuzuia magugu yasiote shambani.

Matamshi

kiuagugu

/kiuwagugu/