Ufafanuzi wa kiuamwitu katika Kiswahili

kiuamwitu

nominoPlural viuamwitu

  • 1

    mti mdogo wa mwituni wenye maua yanayonukia kama mrehani mwitu na hutumiwa kama dawa.

Matamshi

kiuamwitu

/kiuwamwitu/