Ufafanuzi wa kiuavija katika Kiswahili

kiuavija

nominoPlural viuavija

  • 1

    aina ya dawa inayotumika kuzuia bakteria kuzaliana.

Matamshi

kiuavija

/kiuwaviʄa/