Ufafanuzi wa kiungamwana katika Kiswahili

kiungamwana

nominoPlural viungamwana

  • 1

    mshipa mrefu ambao unaunganisha kijusi au mtoto mchanga na mama yake ndani ya kondo kabla ya kuzaliwa, ili kusafirisha virutubisho vya lishe kutoka kwa mama, na hukatwa pindi akizaliwa.

Matamshi

kiungamwana

/kiwungamwana/