Ufafanuzi msingi wa kiungo katika Kiswahili

: kiungo1kiungo2kiungo3kiungo4

kiungo1

nominoPlural viungo

 • 1

  mahali vitu viwili au zaidi vinapounganikia.

Matamshi

kiungo

/kiwungO/

Ufafanuzi msingi wa kiungo katika Kiswahili

: kiungo1kiungo2kiungo3kiungo4

kiungo2

nominoPlural viungo

 • 1

  kitu kinachotia chakula ladha au harufu nzuri k.v. chumvi, kitunguu, iliki au karafuu.

Matamshi

kiungo

/kiwungO/

Ufafanuzi msingi wa kiungo katika Kiswahili

: kiungo1kiungo2kiungo3kiungo4

kiungo3

nominoPlural viungo

 • 1

  sehemu ya mwili wa mtu au mnyama.

Matamshi

kiungo

/kiwungO/

Ufafanuzi msingi wa kiungo katika Kiswahili

: kiungo1kiungo2kiungo3kiungo4

kiungo4

nominoPlural viungo

 • 1

  muunganishaji au mratibu.

Matamshi

kiungo

/kiwungO/