Ufafanuzi wa Kiunguja katika Kiswahili

Kiunguja

nomino

  • 1

    lahaja ya Kiswahili inayozungumzwa Unguja.

Matamshi

Kiunguja

/kiwunguʄa/