Ufafanuzi wa kiungwana katika Kiswahili

kiungwana

kielezi

  • 1

    kwa adabu; kwa heshima; kiustaarabu.

    ‘Kijana yule anafanya biashara yake kiungwana’

Matamshi

kiungwana

/kiwungwana/