Ufafanuzi msingi wa kiuno katika Kiswahili

: kiuno1kiuno2

kiuno1

nomino

  • 1

    sehemu ya chini ya mwili iliyoko baina ya mgongo na matako.

Matamshi

kiuno

/kiwunɔ/

Ufafanuzi msingi wa kiuno katika Kiswahili

: kiuno1kiuno2

kiuno2

nomino

  • 1

    msingi wa mawe unaozungushiwa nyumba chini ya kuta.

Matamshi

kiuno

/kiwunɔ/