Ufafanuzi wa kiunza katika Kiswahili

kiunza

nominoPlural viunza

  • 1

    ubao wa kufunikia maiti kaburini.

Matamshi

kiunza

/kiwunza/