Ufafanuzi wa kiva katika Kiswahili

kiva

nominoPlural viva

  • 1

    mdomo wa dema anapoingilia samaki.

Matamshi

kiva

/kiva/