Ufafanuzi wa kivoloya katika Kiswahili

kivoloya

kielezi

  • 1

    bila ya mpango.

    ‘Fulani anatumia mali yake ya urithi kivoloya’
    ovyo

Matamshi

kivoloya

/kivOlOja/