Ufafanuzi wa kivukomilia katika Kiswahili

kivukomilia

nominoPlural vivukomilia

  • 1

    mahali rasmi pa kuvukia barabarani palipochorwa au palipopakwa rangi ya mistari myeupe.

    mapitomilia

Matamshi

kivukomilia

/kivukOmilija/