Ufafanuzi wa kivuli katika Kiswahili

kivuli

nominoPlural vivuli

  • 1

    taswira nyeusi ya kitu inayoonekana katika eneo la karibu wakati kitu hicho kikipigwa na mwanga.

Matamshi

kivuli

/kivuli/