Ufafanuzi wa Kivumba katika Kiswahili

Kivumba

nomino

  • 1

    lahaja mojawapo ya Kiswahili isemwayo katika Kisiwa cha Vumba, sehemu za Vanga na Kaskazini ya Tanga.

Matamshi

Kivumba

/kivumba/