Ufafanuzi wa kivumbasi katika Kiswahili

kivumbasi

nominoPlural vivumbasi

  • 1

    mmea mdogo wenye majani yanayonukia na hutumiwa kuwa ni dawa.

Matamshi

kivumbasi

/kivumbasi/