Ufafanuzi wa kivunjajungu katika Kiswahili

kivunjajungu, vunjajungu

nominoPlural vivunjajungu

  • 1

    mdudu namna ya panzi lakini mkubwa, mwenye rangi ya kijani na miguu mirefu.

Matamshi

kivunjajungu

/kivunʄaʄungu/