Ufafanuzi msingi wa kiwa katika Kiswahili

: kiwa1kiwa2

kiwa1

kivumishi

  • 1

    -enye kukosa tangamano.

    ‘Siku hizi yu mkiwa’
    pweke

Matamshi

kiwa

/kiwa/

Ufafanuzi msingi wa kiwa katika Kiswahili

: kiwa1kiwa2

kiwa2

nominoPlural viwa

  • 1

    kisiwa kidogo.

Matamshi

kiwa

/kiwa/