Ufafanuzi msingi wa kiwango katika Kiswahili

: kiwango1kiwango2kiwango3

kiwango1

nomino

 • 1

  kiasi kilichokadiriwa.

  kipimo, kitembo, kadiri, hisa

Matamshi

kiwango

/kiwangO/

Ufafanuzi msingi wa kiwango katika Kiswahili

: kiwango1kiwango2kiwango3

kiwango2

nomino

Kidini
 • 1

  Kidini
  kiasi maalumu cha mali ambacho kikipindukia huwa kina haki ya kutolewa zaka katika Uislamu.

  ‘Mali hii haijafikia kiwango kwa hivyo haitolewi zaka’

Matamshi

kiwango

/kiwangO/

Ufafanuzi msingi wa kiwango katika Kiswahili

: kiwango1kiwango2kiwango3

kiwango3

nomino

Matamshi

kiwango

/kiwangO/