Ufafanuzi wa kiwangwa katika Kiswahili

kiwangwa

nominoPlural viwangwa

  • 1

    aina ya kauri ya pwani ambayo hutumiwa kuwa ni pambo.

Matamshi

kiwangwa

/kiwangwa/