Ufafanuzi msingi wa kiwanja katika Kiswahili

: kiwanja1kiwanja2

kiwanja1

nomino

 • 1

  kipande cha ardhi, agh. kinachotumiwa kwa kujengwa nyumba.

  ploti

Ufafanuzi msingi wa kiwanja katika Kiswahili

: kiwanja1kiwanja2

kiwanja2

nomino

 • 1

  eneo wazi la kufanyia shughuli fulani k.v. michezo au kutua ndege.

  ‘Kiwanja cha nyumba’
  ‘Kiwanja cha ndege’
  uga, uchanjaa