Ufafanuzi msingi wa kiwavi katika Kiswahili

: kiwavi1kiwavi2

kiwavi1

nominoPlural viwavi

  • 1

    aina ya majani yanayowasha.

    upupu

Matamshi

kiwavi

/kiwavi/

Ufafanuzi msingi wa kiwavi katika Kiswahili

: kiwavi1kiwavi2

kiwavi2

nominoPlural viwavi

  • 1

    mdudu mwenye miguu mingi ambaye agh. huwa na manyoya yanayowasha, aliye katika hatua ya pili ya ukuaji wa vipepeo na nondo.

Matamshi

kiwavi

/kiwavi/