Ufafanuzi msingi wa kiwe katika Kiswahili

: kiwe1kiwe2kiwe3

kiwe1

nominoPlural kiwe, Plural viwe

 • 1

  jiwe la kusagia.

Ufafanuzi msingi wa kiwe katika Kiswahili

: kiwe1kiwe2kiwe3

kiwe2

nominoPlural kiwe, Plural viwe

 • 1

  ugonjwa wa kutoona usiku tu.

  ‘Macho yameingia kiwe’

Ufafanuzi msingi wa kiwe katika Kiswahili

: kiwe1kiwe2kiwe3

kiwe3

nominoPlural kiwe, Plural viwe

 • 1

  kipele au chunusi.

  ‘Kiwe cha uso’

Matamshi

kiwe

/kiwɛ/