Ufafanuzi wa kiweko katika Kiswahili

kiweko

nomino

  • 1

    mahali pa kuwekea kitu.

    msingi, kitako

Matamshi

kiweko

/kiwɛkO/