Ufafanuzi wa kiwewe katika Kiswahili

kiwewe

nomino

  • 1

    hali ya kuwa na hofu na babaiko.

    wasiwasi

Matamshi

kiwewe

/kiwɛwɛ/