nominoPlural viwi
- 1
Matamshi
kiwi
/kiwi/nominoPlural viwi
- 1
giza la machoni linalofanywa na kitu kinachong’aa sana.
Matamshi
kiwi
/kiwi/nominoPlural viwi
- 1
tabia mbaya ya uroho.
‘Mtoto huyu hawandi kwa sababu ana kiwi’
Matamshi
kiwi
/kiwi/nominoPlural viwi
- 1
wino wa ngisi; wino wa rangi nyeusi anaotoa ngisi ili kujikinga asionekane na maadui zake.
kivi
Matamshi
kiwi
/kiwi/nominoPlural viwi
- 1
aina ya ndege jamii ya kitwitwi.