Ufafanuzi wa kiwiko katika Kiswahili

kiwiko

nominoPlural viwiko

  • 1

    kiungo kinachounganisha kiganja na sehemu ya juu ya mkono, agh. panapovaliwa saa.

    kivi

Matamshi

kiwiko

/kiwikO/