Ufafanuzi wa kiwiliwili katika Kiswahili

kiwiliwili

nominoPlural viwiliwili

  • 1

    pingiti la mwili kati ya shingo na miguu.

    ‘Nilimwona kiwiliwili tu, sikumwona uso’
    jasadi, badani

Matamshi

kiwiliwili

/kiwiliwili/