Ufafanuzi wa kiwindu katika Kiswahili

kiwindu

nominoPlural viwindu

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    kamba za nanga zitumiwazo ili kuiweka shetri ya meli kuelekea ufukoni.

Matamshi

kiwindu

/kiwindu/