Ufafanuzi wa kiyama katika Kiswahili

kiyama, kiama

nominoPlural kiyama

Kidini
 • 1

  Kidini
  siku ya kufufuliwa watu wote na kusimamishwa mbele ya Mwenyezi Mungu ambapo matendo na amali za kila mwanadamu zitahesabiwa.

  ufufuo

 • 2

  Kidini
  siku ya mwisho wa dunia wanavyoamini wafuasi wa dini.

Asili

Kar

Matamshi

kiyama

/kijama/