Ufafanuzi msingi wa kiyeyusho katika Kiswahili

: kiyeyusho1kiyeyusho2

kiyeyusho1

nominoPlural viyeyusho

 • 1

  kiowevu kinachoweza kuyeyusha vitu vingine.

  ‘Petroli ni kiyeyusho cha grisi’

Matamshi

kiyeyusho

/kijɛju∫O/

Ufafanuzi msingi wa kiyeyusho katika Kiswahili

: kiyeyusho1kiyeyusho2

kiyeyusho2

nominoPlural viyeyusho

Sarufi
 • 1

  Sarufi
  kitamkwa ambacho si konsonanti wala si irabu, huchukuliwa kuwa nusu irabu na nusu konsonanti.

 • 2

  Sarufi
  sauti inayotamkwa bila kubana au kuachia kabisa mkondo wa hewa k.m. w au y.

Matamshi

kiyeyusho

/kijɛju∫O/