Ufafanuzi wa kiyoga katika Kiswahili

kiyoga

nominoPlural viyoga

  • 1

    mmea usio na umbijani unaofanana na vikamba na unaomea kwenye vitu vilivyooza vyenye majimaji.

Matamshi

kiyoga

/kijOga/